TIMU ya Manchester United itamenyana na Swansea City katika Raundi ya Nne ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup.

Hiyo inafuatia ushindi wa 4-1 dhidi ya Burton Albion kwenye mchezo wa jana Uwanja wa Old Trafford, mshambuliaji chipukizi, Marcus Rashford akifunga mabao mawili dakika ya tano 17. 147 palabras más